Muweza

Muweza yote niwewe
Mwenye nguvu niwewe
Hakuna jambo linalo kushinda
Hakuna jambo ninalo kushinda

Ulisema tuilete mizigo yetu kwako
Tukiwa tumelemewa tuitwike kwako
Nira yako ni laini na muzigo wako ni mwepesi
Nira yako ni laini na muzigo wako ni mwepesi

Sikia kilio cha wale wamama wa Jane
Walio nyanganywa haki zao kwanguvu
Uyaone na yale machozi ya mayatima oh
Wanao onelewa sababu hawana kipato
Wewe ni Mungu uwatetee

Muweza yote niwewe
Hakuna jambo linalo kushinda
Hakuna jambo ninalo kushinda

Kumbuka wagonjwa wanao kuwa hospitalini yawe
Kumbuka nawale wafungwa magerezani baba
Wamama watasa uwafute chozi lao
Uwa kumbuke wa hitaji wote wanao lia kwako
Kwani
Nira yako ni laini na muzigo wako ni mwepesi
Nira yako ni laini na muzigo wako ni mwepesi

Muweza yote niwewe
Mwenye nguvu niwewe
Hakuna jambo linalo kushinda
Hakuna jambo ninalo kushinda

Muweza yote niwewe
Mwenye nguvu niwewe
Hakuna jambo linalo kushinda
Hakuna jambo ninalo kushinda



Credits
Writer(s): Binja Masunzu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link