Rap Ninjas

Huezi nicompare na awa marap ninjas
Clinchy man ni hustler that's a fact ninja
Jeshi ya mtu kinde ukicross ninja
Spend a thousands on some t-shirts me ni brand ninja

Eeeh, friday magizani black on black ninja
Tumefika westy kuchafua ninja
Nimetoka mbali bila parents ninja
Hii ndio mwanzo sijafika kua mpole ninja (woooh)
We mtoto wa mama lipa deni ninja
Ukishika kapa chwani huezi dozz ninja
Cruising ndani ya ubber na ki mzinga ninja
Weekendi sina mambo narelax ninja
Kwa bank account nina mabrown ninja
Lazima nikafunge life ni short ninja
Get rich or die trying kama fifty ninja
But huezi nicompare na awa marap ninjas (eey)
Nadouble up sidai kusota ninja
Plug amenicall mali ishajipa ninja
Siezi acha wanishow any mimi ninja
Cheza chini huna form we ni mblaina ninja,eeey

Huezi nicompare na awa marap ninjas
Clinchy man ni hustler that's a fact ninja
Jeshi ya mtu kinde ukicross ninja
Spend a thousands on some t-shirts me ni brand ninja

Ukidai vurugu pull up in my hood ninja
Upate magoons wako na dready wamejipin ninja
Usithani hii ni threat niko true ninja
Nilijirecord mixtape am determined ninja
Samething na EP hufiki ligi ninja
Ukidai uneza uliza taio tripper ninja
Hakuna rapper anagrind kama mimi ninja
Graduate nina papers that's a fact ninja
Street credit,me ni G ninja
Street talking, am the shiit ninja
Million dollar goals progress in the making ninja
Ata useme nini huezi nishtua ninja
Gengetone ni ya mafala usibishane ninja
No going back kama ni noma ineza tamba ninja
Usiniblame blame place nimetoka ninja
Play your position am on my next mission ninja, eeey

Huezi nicompare na awa marap ninjas
Clinchy man ni hustler that's a fact ninja
Jeshi ya mtu kinde ukicross ninja
Spend a thausands on some t.shirts me ni brand ninja

Mashrap niggas wanadunga goro imbooo
Natry kuwashow ifai kufanywa ivo
Nikishika mic inagonga ndipo
Nafanya na bidii nipate malipo
Kila mtu anadai kukafunga
Awa wasee waneza kumurder budah
Unaflexx IG wakiduu it for clout
Niko high daily manze nipate juu ya clouds
Bomboclaats awa marapper
Wanabonga ka wamother
Zangu kuhustle doh mkwanja
Daily nasafisha radar
Kwa mic me ni beast
Project mpya narelease
I won't stop till the day i'll be diseased
Usisahau hii ngoma sio diss
Ni facts, reality niko free
Rap nahold kwa hii city
Niskize vi clarity
Hii jina ni Clinchy mtatiii,haaa
Ndani ya bng



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link