Najuta

Hmmh mmmhhh
Oh nana nana
Hmmmhmmmh
Aaaah
Haya mapenzi yamekua kipigo
Ona machozi yanibubujika
Kukupenda wewe imekua mzigo
Hmmh mmh
Eti niulinde moyo maumivu ya mapenzi
Baba aliwahi niambia
Hata ukiwa loyal uwe bingwa wa mapenzi
Wenzako wanakuania
Ya Wema kuachana na mama Jayden
Eseka kuachana na mama Kika
Leo Cindy namba yake kaishika
Ame move on
Hmmmh
Kula kulala huwezi
Pressure kupanda ukimuona
Oh yana umiza sana mapenzi oh mama weeh

Najuta
Kukutana na wewe
Najuta
Kuongea na wewe
Najuta
Kukwambia nakupenda
Najuta
Kukutana na wewe mwana mke

Hmmh mmmmh

Ukikosa wewe naomba radhi mimi
Najuta
Unayo fanya wewe nayahifadhi mimi
Najuta
Ipo siku nitasahau
Yale yako madharau
Ugomvi bila sababu
Nimeshachoka
I rather be alone than to be with you
Baby you the one who made me cry
You told me that your love for me was true
But baby what you said was a lie
Hmmmh
Kula kulala huwezi
Pressure kupanda ukimuona
Oh yana umiza sana mapenzi oh mama weeh

Najuta
Kukutana na wewe
Ningelala siku nzima
Najuta
Kuongea na wewe
Oh ningekaa kimya
Najuta
Kukwambia nakupenda
Ningefunga kinywa
Najuta
Kukutana na wewe mwana mke



Credits
Writer(s): Nitereka Abdallah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link