Dhahabu
Nilopokuwa nipo chini mavumbini
Nilopokuwa nipo chini mavumbini
Walinikataa waliniona ni mavumbi tu
Walinikataa nilikuwa sina dhamani kwao
Walijua jana yangu
Hawakujua leo yangu
Waliniona ni masikini
Waliniona sina dhamani kwao
Waliniona sina lolote
Ila walichokesea hao
Walijua jana yangu wao
Hawakujua leo yangu wanadamu
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are kama dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Usiidharau leo ya mtu
Usiidharau leo ya mtu
Maana haujui kesho yake
Maana haujui hatima yake
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Aliye masikini leo
Kesho huyo ye tajiri
Unayemuona chini leo
Kesho atainuliwa na mungu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Kesho ya mtu i mkonono mwa baba
Daudi alikuwa mchunga kondoo porini
Daudi alikuwa mchunga kondoo daudi
Nani alijua daudi ni mfalme
Nani alijua daudi ni mtu mukubwa
Kumbe unaweza pitia leo
Kwa utukufu wa kesho
Kumbe unaweza pitia leo
Hiyo ni heshima kwa mungu
Watakapo kuja kuinua watashanga
Usije idharau leo ya mtu
Sasa nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Amenitengeneza mungu leo nang'ara kama dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Nilipokuwa masikini nilivumilia
Waliponikaa na kunibeza nilivumilia
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are mungu amenitoa mbali
Acha ning'are mungu amenikumbuka
Na sifa kuu ya dhahabu
Na sifa kuu ya dhahabu,
Dhahabu, ni lazima ipite kwenye moto
Likipita kwenye moto dhahabu itang'ara tu
Na sifa kuu ya mungu wetu huyu
Hutuinua kutoka chini, chini chini sana
Na kutupandisha mpaka juu
Na kutuketisha n'a wakuu
Usijedharau leo ya mtu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are kama dhahabu, mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu
Nilopokuwa nipo chini mavumbini
Walinikataa waliniona ni mavumbi tu
Walinikataa nilikuwa sina dhamani kwao
Walijua jana yangu
Hawakujua leo yangu
Waliniona ni masikini
Waliniona sina dhamani kwao
Waliniona sina lolote
Ila walichokesea hao
Walijua jana yangu wao
Hawakujua leo yangu wanadamu
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are kama dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Usiidharau leo ya mtu
Usiidharau leo ya mtu
Maana haujui kesho yake
Maana haujui hatima yake
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Aliye masikini leo
Kesho huyo ye tajiri
Unayemuona chini leo
Kesho atainuliwa na mungu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Kesho ya mtu i mkonono mwa baba
Daudi alikuwa mchunga kondoo porini
Daudi alikuwa mchunga kondoo daudi
Nani alijua daudi ni mfalme
Nani alijua daudi ni mtu mukubwa
Kumbe unaweza pitia leo
Kwa utukufu wa kesho
Kumbe unaweza pitia leo
Hiyo ni heshima kwa mungu
Watakapo kuja kuinua watashanga
Usije idharau leo ya mtu
Sasa nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Amenitengeneza mungu leo nang'ara kama dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Nilipokuwa masikini nilivumilia
Waliponikaa na kunibeza nilivumilia
Leo nang'ara kama dhahabu
Acha ning'are mungu amenitoa mbali
Acha ning'are mungu amenikumbuka
Na sifa kuu ya dhahabu
Na sifa kuu ya dhahabu,
Dhahabu, ni lazima ipite kwenye moto
Likipita kwenye moto dhahabu itang'ara tu
Na sifa kuu ya mungu wetu huyu
Hutuinua kutoka chini, chini chini sana
Na kutupandisha mpaka juu
Na kutuketisha n'a wakuu
Usijedharau leo ya mtu
Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are kama dhahabu, mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu
Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu
Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu
Credits
Writer(s): Beatrice Essau Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.