I Don't Care

The first thing nataka tununue dunia
Tuishi mimi na wewe dear
Wengine twawafungia
Vingine malizia

Nikupe mapenzi mpaka wewe uogope
Jiachie nataka nikupe vyote
Kwenye dunia hivi vingine
Si lolote mama mama mama
Basi me nielewe
Hakuna mimi bila wewe
Ukinizingua wewe
Nitakuwa chizi unielewe

I don't care, wakisema ni malaya
I don't care, wakikusema vibaya
Baby mimi, I don't care

I don't care, wakisema ni malaya
I don't care, wakikusema vibaya
Baby mimi, I don't care
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care

I put a ring on your finger
Kama unaringa ringa
Hakuna wa kukupinga
Wewe kiboko yao

Vyenye uko cool
Venye uko humble na mapenzi yako juu
Mie roho juu mmm
What's kind of love

Asa mbona unakipinda pinda
Vile unanitreat kama kinda kinda
Mimi nimekubali nimeshindwa, shindwa
Mahaba yamwagika nayakinga yooh

Basi me nielewe
Hakuna mimi bila wewe
Ukinizingua wewe
Nitakuwa chizi unielewe

I don't care, wakisema ni malaya
I don't care, wakikusema vibaya
Baby mimi, I don't care

I don't care
I don't care
I don't care
I don't care

Asa mbona unakipinda pinda
Vile unanitreat kama kinda kinda
Mimi nimekubali nimeshindwa, shindwa
Mahaba yamwagika nayakinga
yooh



Credits
Writer(s): Salmin Ismail Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link