Twende

Wee ndo asali wangu wa moyo
Kutwa nakuwaza
Nakutamani mwenzio uje niliwaza
Ukiwa adimu hata kwa simu I'll be calling you everyday
Wee wajua
Ukiwa adimu hata kwa simu I'll be calling you everyday
Hallo hallo hallo my love wewe tu hallo hallo hallo my love wewe tu

Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza

Tangu zamani mwenzio walisha niumizaga
Nikiwa na wee amani kila saa furaha kila mara
Ila usiwe adimu hata kwa simu
Coz I'll be calling you everyday
Ukiwa adimu hata kwa simu baby I will calling you everyday everyday
Nakupenda nakuwaza wewe tu wewe tu nakupenda nakuwaza ukiwa mbali nami

Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza
Twende twende twende
Twende twende twende
Nitakutembeza wanipendeza



Credits
Writer(s): Kennedy Matiga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link