Dereva
Aamen Aamen to your will
E Baba
Aamen Aamen to yo love
Umekaa mbele
We ndo dereva
Mi ni abiria tu
Kwenye safari yangu
Sina mashaka najua unakonipeleka
Mimi ni chombo
Wewe ni fundi stadi
Amen
Mimi sina mashaka
Maana najua wataka kuniunda vipi
Mimi sina mashaka
Wala wasiwasi
Wataka nionekanaje
Kwa kazi yako nitasema
Aamen
Kwa upendo wako nitasema
Aamen, Aaamen
Aamen aamen to your will
Aamen Aamen to your love
Nimegundua siwezi tafsiri
Mapito kama mateso
Nilichojua ni kutafsiri
Mapito kama darasa
Eeh Mwalimu wangu
Nifundishe
Nielimike
Nimegundua siwezi tafsiri
Machozi kama simanzi
Ninachojua nikutafsiri
Machozi kama daraja
La mimi kuvuka
Na kunifikisha kwenye hatima yangu
Kwa kazi yako nitasemaaa
Aamen
Kwa upendo wako nitasema
Aamen Aaaamen
Aamen Aamen to your will
Mimi sijui wewe wajua
Aamen Aamen to your love
Asante kwa pendo lako
Aamen Aamen to your will
Waujua mwanzo wangu
Aamen Aamen to your love
Aamen Aamen to your will
E Baba
Aamen Aamen to your love
Aamen Aamen to your will
E Baba
Aamen Aamen to your love
E Baba
Aamen Aamen to yo love
Umekaa mbele
We ndo dereva
Mi ni abiria tu
Kwenye safari yangu
Sina mashaka najua unakonipeleka
Mimi ni chombo
Wewe ni fundi stadi
Amen
Mimi sina mashaka
Maana najua wataka kuniunda vipi
Mimi sina mashaka
Wala wasiwasi
Wataka nionekanaje
Kwa kazi yako nitasema
Aamen
Kwa upendo wako nitasema
Aamen, Aaamen
Aamen aamen to your will
Aamen Aamen to your love
Nimegundua siwezi tafsiri
Mapito kama mateso
Nilichojua ni kutafsiri
Mapito kama darasa
Eeh Mwalimu wangu
Nifundishe
Nielimike
Nimegundua siwezi tafsiri
Machozi kama simanzi
Ninachojua nikutafsiri
Machozi kama daraja
La mimi kuvuka
Na kunifikisha kwenye hatima yangu
Kwa kazi yako nitasemaaa
Aamen
Kwa upendo wako nitasema
Aamen Aaaamen
Aamen Aamen to your will
Mimi sijui wewe wajua
Aamen Aamen to your love
Asante kwa pendo lako
Aamen Aamen to your will
Waujua mwanzo wangu
Aamen Aamen to your love
Aamen Aamen to your will
E Baba
Aamen Aamen to your love
Aamen Aamen to your will
E Baba
Aamen Aamen to your love
Credits
Writer(s): Emmanuel Gripa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.