Neno Moja

Yale yasiyowezekana
Kwa wanadamu
Kwako yote yawezekana
Yaliyo magumu
Kama mwamba
Huyasagasaga
Kama unga

Hakuna kifungo
Usichoweza
Kukiondoa
Maishani mwangu
Hakuna ugonjwa
Usioweza
Kuondoa
Mwilini mwangu maana
Milima hushushwa
Mabonde husawazishwa
Miamba hupasuliwa
Dunia husimamishwa

Je kuna Neno
Je kuna Neno
Usiloweza
Usiloweza
Je kuna Neno
Je kuna Neno
Usiloweza
Usiloweza

Neno moja toka kwako
Ndilo ninalo amini
Nikae hemani mwako
Niziimbe sifa zako
Nanaaaaaaaaa
Mizigo sitaweza beba
Nakutwika wewe mwezaa
Unishindiae vyote na kunipa pumziko
Kwako
Milima hushushwa
Mabonde husawazishwa
Miamba hupasuliwa
Dunia husimamishwa
Hakuna kifungo
Usichoweza
Kukiondoa
Maishani mwangu
Hakuna jeraha
Usiloweza kuliondoa
Moyoni mwangu

Je kuna Neno
Je kuna Neno
Usiloweza
Usiloweza
Je kuna Neno
Je kuna Neno
Usiloweza
Usiloweza

Mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Everybody say
Kyala gwe gwamaka
Kyala gwe gwabhumi
Ubhagileee
Mmmh mmmh
Kyala gwe gwamaka
Kyala gwe gwabhumi
Ubhagileee
Mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Mmmh mmmh



Credits
Writer(s): Emmanuel Gripa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link