Tembe Za Ukwelo
Mgenge wa Jiji
Flexx aliwapiga nyundo nawapiga kisiki
Napita na mabinti mabibi kisiri
Acha umbwakni
Mi si mlami
Unajua Hii mziki ni kazi
Ni kusaka tu ganji
Lakini usidhani
Utawainicheza kidwanzi
Nakunywa ma Aunty
Kama dasani
Yaani kutenda madhambi
Gillo ama bacardi
Hizo makali
Ndio Huwaleta kwa yadi
Achana na mamanzi
Nadai kuomoka
Kutoka umoja na kina Roja
Penye nimetoka
Kuchana mogoka pale kwa Kona na kudunda dandora
Enzi za ogopa beat ya clemo na Chibalonza
Ilkua kibaki tosha
Watu walikufia umoja wanjohi akakuja kutuosha
Kazi ni kugodha mayouth wanazoza na kuzidi kukonda
Wakora hamchoki kupora kudandia masofara juu wanavuta doba
Mnazidi kukopa juu zenyu ziko offshore euro hata si dollar
Wasanii wanaogopa kubonga wallai makuro vile mnasonga
Nyi mapretender
Mnachange kila siku tu kama kalenda
Chasing clout tunajua hio agenda
Drop hio ngoma ukipenda tunaireturn to sender
Jifanye jangili tunakupiga maheda
Ama tukufanye kishakes makena
Si hutembea na moja kwa chamber
Mroro kwa keja wezere za uziza ayela
Skuhizi hatudai mashada za kali
Yaani Ka ngwai haitoki uholanzi hatutaki
Naskia bado mnadanganywa wazi na wale wasee wa vitambi
Kupiga ka kura hutaki lakini kuona msanii unakita kambi
Mi si wangari maathai
Mi huwapiga tu miti na simu sishiki walai
Mi hukata kajaba na chai
Nitry ka unadai kuzirai
Gidi gidi na si siri nakula atoti kwa ndai
Mjini na injili kwa pochi you know niggas gotta stay high
Konkodi ma noti kwa koti anadai kisiki kitambo hakuwa anareply
Sina gedhaa ya vitimbi nadai tu ulimi 22/7 ka pi
Khai Ati huyo peng ni bi msongeshe mbele kwa line
Walai ni real life natuma bro anawachuna kwa vine that's my nigga he knows what I like
I don't want a wife character ilipigwa development hiyo design
Niko daily kwa shrine online IG Kibe akienda live
Hatujali na size madenge on deck hakuna kufight

Credits
Writer(s): Brandon Kiprotich
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.