Sina Idea

Sina idea Odi wa muranga
Idea, idea idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Idea dea idea, idea serkali saidia
Kukuru kakara ukiniita tunapatana
Mbona unaringa na nikuona tunafanana
Odi na Swat mbanga hapa tunapandana
Sham sham kitam nduru ona huna idea
Uko church pastor ameshaanza mbagala mbaga
Umeboeka Ngoma Kali yako mbagala
Hauna haya Hauna eye shadow fanana
Angle ya paipai pin ndani na nyama na
Napenda wasichana iite clitical thinking
Kifo ya dume sema titi gone missing
Nywele ya Odi tint sema alitint tint
So ata stugger aka chew akakula ding ding
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Utafika aje mtaa, Sina idea
Uko sure uko fiti, Sina idea
Kwani una feel aje? Sina idea
Sina nini
Idea, idea idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Nashikisha na gumba nakata red label
Nipande mat nipande nduthi ama nipande tuk tuk
Nitafika aje mata sina idea
Nilipoteza sim ama nilchai iwa
Mbogi iko area sijakaliwa
Whiskey na vodka changanya sitazima
Mi sidai chaser is etc nawapima
Kama hunielewi mambo yangu jinga jinga
Niko na four chwani adisia uko na pinga
Unavailable mzinga gani iwe gin ama flavor
Unadai na chaser ama utakata dry dry
Ukunywe na haji, sprite ama Coca Cola

Iwe ni shifla bora ume mochoa
We ni mali safi ndio maana unakohoa
Uko exam na huna idea
Targeter na jesma na huna idea
Bro uko madudu, sina idea
Utafika aje mtaa, Sina idea
Uko sure uko fiti, Sina idea
Kwani una feel aje? Sina idea
Sina nini
Idea, idea idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Nimejipata stuff na Sina idea
Tena niko madudu na vic hana geels
Hatujai patana na asha niita dear
Sijui ni maswara ama ni ma beer
My dear unaweza niita date unishikie beer
Ata niche validate nitasimamia
Hizo ma tusker na gin nita gharamia
Na bado nimebaki na mti ya ku spend jumia
Enyewe mafala wamepanga line
Wanadai kupigwa kiti ya campaign na badae warudi kwao tu na ka train
Kredo ya sad is afford Bahamian zane
Utafika aje mtaa, Sina idea
Uko sure uko fiti, Sina idea
Kwani una feel aje? Sina idea
Sina nini
Idea, idea idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Nimetoka home cheki club ime chrome
Kwani nilikunywa chrome kejani, sina idea
Maze jo nikableki why not sikujua hivo doo ni kali, sina idea
My dear mbona unaninyamazia adi ukaniblock kwani nilikukatisia
Umeleta chip zinanuka ka bhajia
Alafu unaniiuliza mbona nimekuijamia
Cheki Mbona sahii unaningora eti we mgonjwa adi una kohoa
Na nakupata kwa zabe kama uanamochoa

Question mbonaa ukikata unamwaura
Utafika aje mtaa, Sina idea
Uko sure uko fiti, Sina idea
Kwani una feel aje? Sina idea
Sina nini
Idea, idea idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea
Sina aai, Sina aai, Sina idea



Credits
Writer(s): Moses Otieno, Francis Macharia, Boniface Mwangi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link