Niguse

Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama sina msaada
Giza machozi, kuvunjika moyo
Naja kwako niguse pindo nipone

Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama sina msaada
Giza machozi, kuvunjika moyo
Naja kwako niguse pindo nipone

Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone
Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone

Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama sina msaada
Giza machozi, kuvunjika moyo
Naja kwako niguse pindo nipone

Hapa nilipo nimefika mwisho
Nimekwama sina msaada
Giza machozi, kuvunjika moyo
Naja kwako niguse pindo nipone

Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone
Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone

Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone
Niguse ee pindo la nguo yako
Niguse eeh nipone



Credits
Writer(s): Caleb Agwacha
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link