Beng Beng Beng Beng Beng'e Beng'e

Beng beng beng benge benge
Beng beng beng benge benge

Stop sleeping on us Africa tumefika
We be bringing the heat and Killing the beat na muziki inalipa
Mbogi imechanuka Vitu zinafunguka
Kila siku Yellow fever Kwenye border Muenyanga e shina
Tembea ukiwa kijana The world is made of wonders
When you enter Uganda Warembo wengi kama Rwanda
Sudanese, borana
Sura nzuri nimeonanga
Africa vitu ni visanga
Africa vindu vichenjanga

Beng beng beng beng'e beng'e
Beng beng beng beng'e beng'e

Pepe peperusha bendera
Warembo wamevaa madera
Vijana wa mtaa anzeniamka
Aiiiii
Sijawahi ona kama hiiii
Bash inekosa mapiriiii
Wanaonea kwa tviiiii
Na hivyo ndio kunaendanga
Mbogi ya East imecome kujibamba
Mbogi ya west ilicome na madranya
Leo ni kusu kusu kusukana
Chuku chuku chukuana

Beng beng beng beng'e beng'e
Beng beng beng beng'e beng'e



Credits
Writer(s): Delvin Mudigi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link