Milele

Secret
Oo aah eeh mmmh ayeeh

Utamu wa mua fundo, wahenga walishaongea
Mtumbwi pondo, chombo inahelea
Watamaliza bando, ku-comment ya umbea
Kutupiga vikumbo, we don't care
Hayawi hayawi, ona yamekua aa
Yah manani, takabari dua
Malavi malavi, niongeze kama yote, kama yotee ee eh

Zubi zubi zubi zubi pampara, mi sina papara
Haya mapenzi mubashara, unayonipea ooh
Zubi zubi zubi zubi pampara pa-pa mi sina papara
Haya mapenzi mubashara, yamenikolea aaah

La la la la la la la la laaa
Nitakupenda milele, nitakupenda milele sweety eeh
La la la la la la la la laaa
Nitakupenda milele, nitakupenda milele chérie eeh

Nitakupenda milele milele mpenzi
Sukari tende, burudani pambe, mi chizi wa milembe,
Ushanibanika siwezi kupapatua
Popote twende, milima mabonde, hata miguru pande,
chunga usije ukazidisha utaniraruaa
Ushauweka mpira wavuni, usiue nzi kwa nyundo
Niende wapi yamkini, penye ulindi weka ulimbombo
Nitakupa vya unyagoni, nikukatie uno la msondo
Usiende usiende eeh

Zubi zubi zubi zubi pampara, mi sina papara
Haya mapenzi mubashara, unayonipea ooh
Zubi zubi zubi zubi pampara pa-pa mi sina papara
Haya mapenzi mubashara, yamenikolea ayeee

La la la la la la la la laaa
Nitakupenda milele, nitakupenda milele baby eeh
La la la la la la la la laaa
Nitakupenda milele, nitakupenda milele sherry eeh



Credits
Writer(s): Sophia Secret
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link