Tap Tap

Kitendawili endeleza eleza
Mchezo wa kitanda ni jeneza
Tuko na henny juu ya meza
Juu jana kuna biz nilicheza

Mmmh so leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap
Leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap

Niko makugla
Tukimochoka jo za mathap
Ghetto ya kegiso kigode tukiskank
Ati beko mingi tukimix na cham
Shuka na madam
Rowenyo sukiinyama
Ati leo tunacheza kwanza tuza TOD

Nyonyo yako kurudinya bila CD
Na ni kuisha barisa si ndeng'a sa kidi
Ati atoe ndovu moshi ni ya mhindi
Ni matap tap ukiover use kwa jeneza
Ki rose muhando kubeba kukubembeleza
Na kata nyoinoi kiingereza yi huwareza

Si unajua ukihesabu nacheza kwa mpesa

Kitendawili endeleza eleza
Mchezo wa kitanda ni jeneza
Tuko na henny juu ya meza
Juu jana kuna biz nilicheza

Mmmh so leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap
Leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap

Adisia man leta beer beer maam
Kuna kadem kanataka kunipea man
Siogopi ju najua nimejipin man
Na nita make sure buda tumekam kam

Bitcoin crypto currency
Inaezafanya buda uwache legacy
Sare konyagi uanze kukunywa hennesy
Ukue big boyz waanze jealousy

Onge wach donge ing'e kawuono arach
Wuod ugenya achak amoke kendo kae
Wuod siaya ematheko nai

Kitemo pinga ibiro ng'eyo ni an onagi

Kitendawili endeleza eleza
Mchezo wa kitanda ni jeneza
Tuko na henny juu ya meza
Juu jana kuna biz nilicheza

Mmmh so leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap
Leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap

Nilinyamba ukajishuku ju we hupigi luku
Hata nipende shower perfume ni nduku
Naskia we ni virgo kitu umekula ni mbuku
Man of steel bila ganji hiyo ni kutu

Paukwa pakawa
Im the only one hata ngeus akupe number
Kijana nimtoxic nab ado niko sawa
Ngeus alifuata doh before uget akagawa

Hatukuwa paris but alipanda hiyo tower
Kama camp mullah party don't stop
Ka hubongi biz kwangu unayap yap

Dj akininice nina thao nitamslap
Kijana nimsharp hata nikivuta blunt

Kitendawili endeleza eleza
Mchezo wa kitanda ni jeneza
Tuko na henny juu ya meza
Juu jana kuna biz nilicheza

Mmmh so leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap
Leo ni kutap tap
Leo ni kutap tap tap



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link