Memo

Memo by Teslah
Ukilewa sana apa utapoteza meno
Na hii ni memo Sina maneno
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh
Mmmmmh hii ni memo
Mmmmmh Sina maneno
Mmmmmh na hii ni demo
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh

Nipeleke ndakaini mi sitaki candy shop
Buda usiniboo mi nkona dimple
Na siwezi cheza chini we huezi nishow
I say who DAT who DAT bad gyal yeah you know
Na mi najua you de want some more
Na kunazua nkigo down low
Na nkiride unakam ninago

Mmmmh
Vile umechill ooh my
Kwako Sina stress no lie
Everybody feeling right
Na tukipuff ayanae

Ukilewa sana apa utapoteza meno
Na hii ni memo Sina maneno
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh
Mmmmmh hii ni memo
Mmmmmh Sina maneno
Mmmmmh na hii ni demo
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh
Mih hupull up in a brand new bima
Uskii skuizi supper mi huitanga dinner
Na kama kamebeba kena Dina
Ni john vuligate ama ni John Cena
Byron ashapass kikoro
Na Tess ashakam na waroro wa ruiru
Washakwama stage wanabonya maboiro
Na vibe Kwa Esto nkichange mawoiro

Can tititi tititeach
Kantai kantai kantai
Walai Niko high
Ukilewa sana apa utapoteza meno
Na hii ni memo Sina maneno
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh
Mmmmmh hii ni memo
Mmmmmh Sina maneno
Mmmmmh na hii ni demo
Sijaibeg sijaiforce na sinanga stress joh



Credits
Writer(s): Nancy Njeri Tesla Murimi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link