Wasemoke (feat. Raila Odinga, Rico Gang & Lewis Seri)

Wasemoke fathermore

I raila amollo odingaa
Odingaa, odingaa

Badness
Baba bine baba
Oka boekea ii kenya inkodwa
Tuko kazi huku hakuna ukora
Vijana aye aye ayee yeeee

Baba wasemoke
Ujamii na usawa wasemoke
Thao sita kwa vijana wasemoke
Ufisadi tumekataa wasemokee
Baba wasemoke ujamii na usawa wasemoke
Thao sita kwa vijana wasemoke
Ufisadi tumekataa wasemoke

Azimio la umoja kwa wingi
Tunapata makazi si siri
Na mapesa za nchi imebidii
Ati kiki tusikeuke nini (eeeh omokee)
We unadai huna kura na hauna pesa mfukoni
Pesa kwa mwezi ona supper tumboni
Baba anapata adi ya jela likoni
Tiktak masaa zimewadia njoooni

Baba bi nee baba
Oka boekea ii kenya inkodwa
Tuko kazi huku hakuna ukora
Vijana aye aye aye yeee

Baba wasemoke
Ujamii na usawa wasemoke
Thao sita kwa vijana wasemoke
Ufisadi tumekataa wasemoke

Yee aaah
Juu baba sasa sisi tuko rada
Ukabila pia sisi hapan taka
Next year tunafungua ukurasa
Vijana tuko rada na fomation ni hivi
Buda na hii kenya ndio general
Tuko hapa na hio kesi sipotezi nao
Tumejaribu na time imefikaa now
2022 siongopi niko ndani now
Hii tutashinda now eee omokeee

Babaa binee baba
Okaa boekea ii kenya inkodwa
Tuko kazi huku hakuna ukora
Vijana aye aye aye yeee

Baba wasemoke
Ujamii na usawa wasemoke
Thao sita kwa vijana wasemoke
Ufisadi tumekata wasemoke eee wamokee
Baba ujamii na usawa wasemoke
Thao sita kwa vijana wasemoke
Ufisadi tumekata wasemokee

Outro
Vijana tukoo, tukoo
Vijana tukoo, tukoo
Eeee eeeeh eeeh eeeh
Babaa wasemokee



Credits
Writer(s): Moses Otieno, Harry Otieno, Victor Amani, Wilson Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link