Je t'aime

Hama kweli we nimzuri sana
Siwezi kundanganya kundanganya
Just follow love kwangu nami ni baki na furaha
Wengi nili wapita ila kwako nimeweka nanga
Na maneno yao yasikuchanganye
Kwako nimeweka uwa la upendooo
Maneno sio vita wacha waongeee
Baby tu sais que moi je t'aime
sans toi je peux pas
tu roule dans ma tête je t'aime mama
Mmh
Je t'aime eeh Eeh yeh
Sans toi je peux pas
Je t'aime Eeh eeh
Siwezi mama
Je t'aime eeh Eeh yah
Mi nawe milele aih
Je t'aime Eeh eeh
Tiffah kama daga utakula
penzi letu lidumu mile milele
mashoga zako na mashosti usiwa sikiize
matusi, post zao zisi kuchushe eeeh
Nami ntambaki nawe mpaka milele
Kwako nimeweka uwa la upendooo
Maneno sio vita wacha waongeee
Baby tu sais que moi je t'aime
sans toi je peux pas
tu roule dans ma tête je t'aime mama
Mmh
Je t'aime eeh Eeh yeh
Sans toi je peux pas
Je t'aime Eeh eeh
Siwezi mama
Je t'aime eeh Eeh yah
Mi nawe milele aih
Je t'aime Eeh eeh



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link