Mariana

Oooh oooh ooow
Zest is on this beat ladies and gentlemen
Mullah
It feels so good to be in love
Hasa ukiwekeza moyo sehemu inayostahili
Ni raha starehee Yeeah
Love Love acha nienjoy Love

Haya twende nesa wee haya twende nesa wee nesanesa
Haya twende nesa wee taratibu bila pressure we si twajidaii

Nisiwe mchoyo mbinafsi
Nashukuru mpenzi umenipa nafasii heey
My baby you so classic levels baby elegant
Nilizuungu nilizungusha ringi
Kama vibuti baby ulinipiga vingi
Nilikomaa vikavukika vigingi
Tuko pamoja zaidi ya Sea na Viking
Nafurahi unanipa changamoto
Unanipa hasira za kuzisaka goto
Wakati wa baridi baby unanipaga joto
Kilichobaki mpenzi unizalie watoto

Usije vunja mipango tulio panga
Itakuwa majanga maana siwezi bila wewe
Usije vunja mipango tulio panga
Itakuwa majanga, maana siwezi bila wewe
Mariaa Maria oooh Maria Marianaa
Would you Marry mee, nakupenda sanaa
Maria ooh Maria Marianaa
Would you marry mee nakupenda sanaa

Nyuma ukizungusha mi nadata mwenzako
Sitamani kukukosa everyday mi nipate raha zako
Mi sitaki mwinginee
My girl my girl my girl you are my girl
Furaha yanguu yangu yangu yanguu young girl
Wenye chuki watakuja kupakaza
Lengo lao penzi kulichakaza
Am your Badman shutter De Mullah
Nawe Mrs. Mullah nakupenda mamaa
Kukutunza sioni hasara
Nazidi kusaka hela upendeze mamaa
Wambea usiwaskize waongoo waongoo
Waongoo haoo usiwaskizee

Bonge la pisi nyoko nakuita pini maa
Dress something nice we go out maa
Let's take a picture weka pozi za uchokozi
On the beach catch a breeze aaah
You are the one in a million girl ama keep ya
Ama gentleman and i know how to treat ya
Getting in a bathtub while my songs play
I love you maa thats what i gotta say
Wambea twawatesa wanazidi pata pressure
Na hizi rasha rasha mvua kamili inakuja
Uhuni nimeuacha kwako nimeshanasa
Sijiwezi nimekwisha ukinicheat nakupigaa
Hahahaa si utani unacheeka
Nimeshachana mkeka
Maongezi yamekwisha
Nakubeba jumla kabisaa

Usije vunja mipango tuliopanga
Itakuwa majanaga maana siwezi bila wewee
Usije vunja mipango tuliopanga
Itakuwa majangaa maana siwezi bila wewee
Mariaa, Maria ooh Maria Marianaa
Would you Marry mee nakupenda sanaa
Maria ooh Maria Marianaa
Would you Marry mee nakupenda sanaa

Mojamoja Records



Credits
Writer(s): Rashid Ally
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link