Tatizo Nyota

(Naroooh)

Nakunywa pombe (Eeh) nahisi Sielewi.
Napiga moyo konde siku utarudi home.
(Ooh) hooome.
Wapi uliko, uliko kwenda (aah)
Mimi Mwenzako nakutafuta (aah)
Wapi uliko weee, uliko kwenda (aah)
Mimi Mwenzako nakulilia (aah)
Kimwana, nakupenda sana
Mapenzi bwana, yananiuma sana
Kimwana, nakupenda sana
Mapenzi bwana yananiuma sana.
Yarabi mora lipi fungu langu.
Kila siku nalia moyo wangu
(Aaah) Sielewi

Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka.
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah)
Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah) Sielewi.
Labda bahati sinaaa Sielewi.
Unaumiza wangu mtima (Aah) Sielewi.
Labda bahati siiiina aah Sielewi
Unaumiza wangu mtima Aah (aah) Sielewi

Sielewi
Ooh Ooh Ooh Ooohooo.
Wanasema Mapenzi matamu,
Ila mimi sina hata hamu,
Wanasema Mapenzi matamu,
Ila mimi sina hata hamu,
My baby I'm sorry,
Kama kuna kosa nililokosaga,
My baby I'm sorry,
Kama mbuzi kala mkeka (naah)
Sina pakujiweka (naah)
Watu wananicheka (naah)
Mapenzi yanatesa (aa)

Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka.
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah)
Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah) Sielewi.
Labda bahati sinaaa Sielewi.
Unaumiza wangu mtima (Aah) Sielewi.
Labda bahati siiiina aah Sielewi
Unaumiza wangu mtima Aah (aah) Sielewi

Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka.
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah)
Tatizo Nyota, mpaka umeamua kuondoka
Kipi nilicho kosa, mpaka umeamua
Kuniacha (aah) Sielewi.
Labda bahati sinaaa Sielewi.
Unaumiza wangu mtima (Aah) Sielewi.
Labda bahati siiiina aah Sielewi
Unaumiza wangu mtima Aah (aah) Sielewi



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link