Yesu Ni Bwana

Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema
Maana fadhili zake ni za milele
Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema
Maana fadhili zake ni za milele

Katika shida zangu nalimwita bwana
Naye kwa kishindo akanijibu
Akaniweka palipo na nafasi
Ili nafsi yangu ifurahi
Bwana Yesu yu upande wangu
Mwanadamu hana la kunitenda
Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema ahh
Yesu Ni mwema ahaa!

Watu wote na waseme sasa
Yesu ni bwana ahaa!

Ni heri kumtumainia bwana
Kuliko kutumaini watu
Bwana Yesu ndiye nguvu zangu
Wimbo wangu na wokovu wangu
Yeye ndiye mlango wa haki eehh
Kila mwadilfu na apitie
Jiwe walilokataa waashi
Hilo ndilo jiwe kuu la pembeni eheee!

Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema aah
Yesu ni mwema ahaa.
Fadhili zake ehe ehe he he heh!
Ni za milele eeh!

Watu wote na waseme sasaaa...
Yesu ni bwana ahaaa!

Sauti za furaha na wokovu
Zimo hemani mwake bwana Yesu
Mkono wake wa kuume wa nguvu
Hutenda makuu kwa waaminifu
Bwana yesu yeye ndiye mkuu eehh!
Naye ndiye atupaye nuru
Mkono wa mwana pekee wa Mungu
Umetukuzwa na hutenda makuu

Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema aahh!

Yesu ni mwema ahaa!
Fadhilizake ehee ehe heh heh eh!
Ni za milele eehe
Sbwan kwa kuwa ni mwema ah ah ah ah!

Yesu ni bwana aha!

Bwana mimi ninakushukuru
Kwa sababu wewe ulinijibu
Unajua uliadhibu sana
Lakini hukuniacha nife
Ahadi zako bwana ni za kweli eehh
Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu
Watu wote na waseme sasa

Yesu ni bwana ahaa

Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema ah ah ah ah ah!

Yesu ni mwema aha
Fadhili zake eh... eh



Credits
Writer(s): Joyce Chale
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link