Yeye Freestyle

Sipendi blanda, niko na akili
Leta hio haga, punguza baridi
Niko hapa, na niko fiti
Buda rada, unafanya nini
Sipendi blanda, niko na akili
Leta hio haga, punguza baridi
Niko hapa, na niko fiti
Buda rada, unafanya nini

Panda nganya, ambia donda ashukishe mwisho
Nimesota, sina do, naeza uza mafigo
Ka hunijui, songa mbali huwezi bonga hii lingo
Msanii asidrop album wacha adrop masingle
Maisha ni ngumu, maisha ni hard, bado napata vitisho
Before nifike miaka thirty cheques nisign na ino
After nimeperform wa mwisho mpige makofi za kilo
Alafu kejani manzi flani nduru ndani ya pillow
All I want is money, yeah, you already know
You fucking these bitches calling them hoes
Before you realize you are the hoe
At my darkest moments I got nobody to show me the glow
Fom za miaye ni kuchapa mboka mpaka siwezi slow
Form kwa chuom, sitaki chaser, ongeza chrome
Baby usiende kuom, hehe, hapa ni home
Love sabuni ya roho, nyanya kando ya hoho
Mapenzi ka ya Akoko, stock imeisha kwa soko

Sipendi blanda (whoo) niko na akili (uh)
Leta hio haga (uh) punguza baridi (ati nini)
Niko hapa (niko hapa) na niko fiti (ey)
Buda rada (uh) unafanya nini
Sipendi blanda (whoo) niko na akili (niko na akili)
Leta hio haga (leta hio haga) punguza baridi (punguza baridi)
Niko hapa (uh) na niko fiti (yeah)
Buda rada (buda rada) unafanya nini (whoo)



Credits
Writer(s): Herbert Edukon
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link