Jealousy

Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine
Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine

Oh jealous
I get so jealous
Anybody tries to talk you
Trying to dance with you
Oh jealous
Do you get jealous?
When the ladies scream at my name
I wanna know before it shows

That is a human nature
I'm not the type to judge
Ikifanyika I'm so sorry
Don't act upon me girl
That is a human nature
I'm not the type to judge
Ikifanyika I'm so sorry
But girl lately

Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine
Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine

Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous

Eh, kwambie tu ukweli ukiwa kitonga
Kila mpita njia atakuja kugonja
Najua uko DM kama wanakusonga
Kwa gear za kubonga
Na gear za kuomba
Sukari yangu watu wanataka kuonja
Biria chonga mzigo wako watasomba
Na unga unga dotti fit na connect

Ukiweka post napitia comment
Sio free market hii kitu private
Wasingi wasijiachie kama consent
Wasema ndege wako kiwa ndani
Akiwa barabarani hujui anaruka na nani
(Jealousy) Sometimes mi nakuwa niko vitani
Wongo zako viwanjani, na marafika company (jealousy)
Na ukiendanga kwa fundi cherehani (jealousy)
Vipimo mi jamani yaani yaani

Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine
Staki kukuona
Ukichekeshwa na mwingine
Cheka na mwingine

Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine
Kuona na mwingine
Staki kukuona
Ukidensi na mwingine
Densi na mwingine

Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous



Credits
Writer(s): Isaac Aine, Nviiri The Storyteller
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link