Only You

Lalalila lila ah!
(Mocco)

Mbona mimi sijui
Mi nanini sijui
Umenipa nini kidawa
Kila nachofanya ni sawa

Hakipandi chakula
Muda wakula
Yani mpaka unilishe
Usiku usingizi sina mpaka ulale wewe (aah)

Una uzuri wasura
Naiyo chura
Hufundi usizidishe
We nisize yangu kina twaenda wewe

You'll be there for me my baby
I'll be there for you my baby
Baby iih iih
Wewe ni wangu

Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
We ndio mamilo
We ndio mamilo oh oh

Mapenzi hayani kipimo
Mi na wewe tu kucheat no
Nisha dondosha wino oh
Nisha dondosha wino oh oh

Only you
Only you
Only you
Only you, Only you

Only you, Ooh!
Only you (oh oh oh)
Only you
Only you Only you

Mungu anaumba, mungu anachora
Mungu anayakata kata maumbo
Mungu anafumba
Molah kakujaza jaza nyamalundo

Sindoma si kokoto
Vimacho vyako changalawe
Mwili homa naisi harosto
Tuanze kula ndo tunawe

My chioma my pototo
Ukinimwagia sandakalawe
Sodoma nauona moto
Ukibiduka paranawe

Mwarubaini ni dawa ya tumbo
Usichanganye na sukari (ooh na sukari)
Nimebaini penzi nifumbo
Si maandishi ya daftari

Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
We ndio mamilo
We ndo mamilo oh

Mapenzi hayani kipimo
Mi nawewe tu kucheat no
Nisha dondosha wino ooh
Nisha dondosha wino (only you)

Only you! (only you)
Only you! (only you you you)
Only you
Only you (baby), only you

Only you (oh oh)
Only you (oh oh)
Only you
Only you Only you

Mocco Genius



Credits
Writer(s): Steven Mccutcheon, John Matthews
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link