Nipe

Niipe niipe niiipe niipe sababu! Sababu
Niipe niipe niipe niipe sababu! Sababu
Niipe
Nataka kukupenda sema moyo ndiyo una sita
Like nah nah nah
Mana alie ondoka aliukamata aka uhumiza
Like! Pa pa pa
Tungi na mapenz bora nini?
Tungi! Tungi! Tungi!
Kush na mapenz bora nini?
Kushi kushi kushi!
No love no stress mabantu
Haribu maini tibua mapafu
Moyo achana nao umebeba ndoto zangu
Yeah believe me now
Nipe sababu sababu
Kwanini una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri
Unataka nikupe moyo wanguNipe sababu sababu
una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri
Unataka nikupe moyo wangu
Ahh
Nipe sababu sababu
Una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri
Unataka nikupe moyo wangu
Nipe sababu sababu
Una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri
Unataka nikupe moyo wangu yeah
Niipe niipe niiipe niipe sababu! Sababu
Niipe yeah
Niipe niipe niipe niipe sababu! Sababu
Niipe, yeah aah

We ni mzuri umbo rangi check wo wo wo, wowowo
Ila mi mapenzi sitaki no!no!no! No no no
Nakumbuka ulivyo sema no strings
Kwamba we mapenzi hu believe
Na nikikuona upo na mtu nisilete mawiv
Nini unataka? nini unataka?
Kukupenda unataka?
Nini unataka? nipesa unataka?
Nini unataka?
Nipe sababu sababu
Una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri
Unataka nikupe moyo wangu
Nipe sababu sababu
Una ng'ang'ana kwangu
Ukiacha na mwili na matendo ya siri,
Unataka nikupe moyo wangu yeah
Niipe niipe niiipe niipe sababu! Sababu,
Niipe yeah
Niipe niipe niipe niipe sababu! Sababu,
Niipe, yeah hahahha weuwee
No hard feelings beb
Chao!



Credits
Writer(s): Sambo Luhanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link