Ngwatila

Chai!

Siku moja nita-angaa
Nivuke kwenye milima
Maisha haya yataomoka
Shida ziongezeke

Lakini n'takuwa na wewe
Nipambane na wewe
Asubuhi tufike na wewe

Ngwatila
Mwendwa kwatila
Ndukadie ngwatila
Asubuhi tufike na wewe

Marafiki walitudharau
Baby tutawasili
Hawakujua
Kwamba maisha
Maisha ni mviringo
Masengeny'o tumewachia
Ambao hawana utu
Kazi tutachapa
Mikono itoe moshi
Siogopi aibu

'sababu n'takuwa na wewe
Stay with me
Tufike na wewe
Shikilia na mimi
One day we will make it

Mola nikifika naomba nisiringe
Niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
Niweke kiboko nikiwadharau
Wanaopanda mbegu
Mola nikifika naomba nisiringe
Niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
Niweke kiboko nikiwadharau
Wanaopanda mbegu

Naomba niwe na wewe
Uuh! Nifike na wewe
Nipambane na wewe
Maisha n'malize na wewe, na wewe
Niwe na wewe
Nifike na wewe
Nipambane na wewe
Maisha n'malize na wewe

Ngwatile
Mwiai ngwatile
Ndukandie ngwatile, ngwatile
Maisha n'malize na wewe



Credits
Writer(s): Manasseh Munyao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link