Nenda

Navyo piga simu zangu kutwa upo busy eeh
Mara messege zangu mbona ujibu uh uh mmh
Labda Nikuulize Wee Tuko wa ngapiiii iih
Au ndo kufosipenzi langu kwako weee eh
Kama Penzi lingekuwa dakika
Lawezangu ningee tazamaa
Ama upendo ungekuwa ratiba yako kwangu mi ninge ichanaaa
Moyo unaisi unafosi kupendwa nawe unajuwa
Mlono loondo shishibashe eehh

Nenda tuuu
Aaaaah aaaah aaah
Wenenda tuuu
Aaaaah aaah aaah
Nenda tuuu
Aaaaah aaaah aaah
Wenenda tuuu
Aaaaah aaaah aaah

Mmh oh baby aih oh moyo wangu
Oh siwezi no moyo unashindwa ah

Nilidhani nipo pekee yangu Kumbe chawote
Moyo ukatweka Imani oh kumbe njia yawote
Nikakosa msaada nani aniokotee eh eh
Leo na vava na vava wananicheka marafiiiki
Kama penzi lingekuwa dakika
Lawezangu ningee tazamaa
Ama upendo ungekuwa ratiba yako kwangu mi ningeichanaa
Moyo unaisi kufosi kupendwa nawe unajuwa
Mlono loondo shishibashe eehh
Nenda tuuu
Aaaaah aaah aaah
Oh baby eh
Wenenda tuuu
Baby eeeeh
Aaaaah aaah aaah
Aise nenda tuuu
Oh baby eh
Aaaaah aaaah aaah
Baby girl
Wenenda tuuu
Nitavumilia ah ah
Oh baby eh
Oh moyo oh oh ah oh
Me ntavumilia aah oh baby girl
Mmh upendo wako salalala yaniumiza now
Uhu uh uhu nami nakuombea mpata wako aliebora zaidi

Write by Alask simba



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link