Kai Wangu

(Sevens Music)

Mtoto anafanana na nani?
Je ana macho kama Nadia Mukami?
Atapenda gym kama baba yake Ali?
Ndo maswali najiuliza tu kichwani

Niliposikia nakupata
Nililia machozi ya furaha (ya furaha)
Ingawa sikuwa ready kukupata
Sina budi sasa kuitwa mama
Ila usijali wee

Mama yako mchapa kazi sana
Baba yako ana roho safi sana
Wazazi wako wote maarufu sana
Baby wangu wee, utatesa sana aah

Namwita jina Kai, Kai, Kai
Kai wangu weweee (Kai, Kai, Kai)
Namwita jina Kai, Kai, Kai (Kai, Kai, Kai)
Kai wangu wewee

Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai)
Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai)
Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai Kai)
Kai, Kai, Kaiii (oh nah nah nah)
(Kaiii, Kaiiii, oh no no uuh, aiyayaa)

I am the one to hold you baby
Ju tumekungoja sana
Toto nakuombea daily
Mungu akuepushe na mabaya
Eh hata dunia ikugeuke baby
Sitakuwacha solo
Nitakulinda wee wee wee
Baby sitakuacha solo, uuuh

Mama yako ni mchapa kazi sana
Na baba yako nina roho safi sana
Wazazi wako wote maarufu sana
Kai wewe, utatesa sana (sanaa)

Namwita jina Kai, Kai, Kai
Kai wangu weweee (Kai, Kai, Kai)
Namwita jina Kai, Kai, Kai (Kai, Kai, Kai)
Kai wangu wewee

Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai)
Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai)
Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai)
Kai Kai Kai yo yo (Kai, Kai)

Aah, Kai Kai Kai yo yo
Kai, Kai, Kai, yo yo
Ooh Kai, Kai, Kai yo yo yo

Nakupenda sana
Nitakutunza sana
Kai, Kai, Kai, yo
Kai, Kai, Kai yo yo yo



Credits
Writer(s): Ali Yusuf, Nadia Mwendo Mukami
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link