Freshi Barida

Stevo uko aje?
Mi niko freshi barida
Mmh hmm
Eeeh, niko freshi barida
Freshi barida ni nini?
Aaah hiyo unajua ni lugha ya kiusanii

Au sio
Stevo simple boy
Ndo maanake, okay
Marvo on the beat

Wakenya mko aje?
Freshi barida
Vichuna magongingo?
Freshi barida
Nataka kienyeji ako freshi barida
Ambia ex wangu niko freshi barida
Niko freshi barida (Okay)
Freshi barida
Niko freshi barida (Okay)
Freshi barida

Stevo nawaambia don't drink and drive
Kwa nyumba don't beat, usichapechape wife
Love ni polepole, ukiforce uta-die
Ngoma ikibamba nipatie high five
Leo ni kutulia hakuna mambo na mzinga
Mabinti wananitaka, ah ah mimi ninaringa
Usilete hasira ju bei ishapanda
Stevo Simple Boy, niko frеshi barida

Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imеkubamba

Wakenya mko aje?
Freshi barida
Vichuna magongingo?
Freshi barida
Nataka kienyeji ako freshi barida
Ambia ex wangu niko freshi barida
Wakenya mko aje?
Freshi barida
Vichuna magongingo?

Freshi barida
Nataka kienyeji ako freshi barida
Ambia ex wangu niko freshi barida

Hakuna mihadarati tunalewa na chapati
Pigia beshte zako uulize party ni saa ngapi
Naskia mnaita ex wangu Ki
Na nikipata pesa nitam-buy-ia gari
Bibi ya wenyewe usimfinyie macho
Kuwa mwaminifu usipende mpango wa kando
Ju kikulacho ki nguoni mwako
Penda ule wako ako freshi barida

Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imekubamba
Katika katika, ka imekubamba

Wakenya mko aje?
Freshi barida
Vichuna magongingo?
Freshi barida
Nataka kienyeji ako freshi barida
Ambia ex wangu niko freshi barida
Wakenya mko aje?
Freshi barida
Vichuna magongingo?
Freshi barida

Nataka kienyeji ako freshi barida
Ambia ex wangu niko freshi barida
Niko freshi barida (Okay)
Freshi barida
Niko freshi barida (Okay)
Freshi barida
Marvo nikuulize?
Uko kwa ndoa ama uko freshi barida?
Mavo on the beat
Men In Business



Credits
Writer(s): Justine Mainye, Stephen Otieno Adera
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link