Mpenzi
Yah Mesh
Mesh d' Citygentle
Mpenzi wangu
(kenyrush on the beats)
Ni ahadi mbaka kiama Nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na Nina... Nina Raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na Nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Mapenzi
Mapenzi
Niko kwa mapenzi
Nina usia wa mapenzi hahaha
Mpenzi ukiwa na Mimi nahisi nikiwa kwenye paa paa
Kila unachotaka nikiwa nacho nakupa
Penzi lako ukinipa silidakii kwa pupa
Then nikiwa na wewe mimi ninajitapaa
Demu wa majuu kwa ngoma unanengua mifupaa
You are so cute check vile umejibebaa... nice!
Mtoto mwadhilifu hujai ingia kwenye bar
Mpenzi bila vichembe tena wewe ni sober
Mwenye hulka nzuri unaongoza watu kwa toba
For real, unanimiss tangu meet ya October
It was fine kule Tea Cafe NKUBU
Tukamake marao hadi yale ya super
Tukatake snap before ujaembark kwa supper
Nikawa na majivuno nikipass kwa mtaa
Nikawalenga demu kwa mabezo nikiwakataa
Ukicome kwa keja mimi nimekubuyia guitar raha!
Wewe mchumba wangu nakutaka kwa kata
Maili yawe nduri kwa panga ningeyakata
Umbali umetutenga bado nazusha vita
Check upendo wa moyo umetumbukia kwa pipa
Mpenzi wangu Lucy najuta kukutupa
Mimi gari mbovu wewe kwangu ni kifaa
Nimebaki uchi wewe suti sijakuvaa
Mapenzi kama Moshi yameisha na kupaa
Nops! umbali umekatisha penzi letu kwa pupa
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Irine mke wangu najivuna kwa yako mapenzi
Ni vile Kuna tofauti ya mpenzi
Mchumba na Mke
Mke anaweza kuwa Mpenzi
Lakini mpenzi hamfikii mke
Mapenzini
Wekeni mambo dhahiri na kutoa upofu wa macho
Ati mpenzi uitwe mke kabla ujaitwa mchumba
La!
Ili ufike tisa sharti uanze kwa moja
Wahenga walikinai kumi haifikwi kwa ombwe tupu
Ewe gwiji wa mapenzi
Usivalie black guggles
Kwa giza Totoro
Gi-za as in
Je huna mapenzi?
Hujui kupenda?
Achana na mapenzi wewe hujui kupenda
Jigube chase za mpira na kufanyika mashabiki
Dunga tisho na kofia za wanachama na kujiita wafuasi
Ushauri wa mahaba
Twachie wanamahabati
Mimi mjumbe thabiti natoa wangu usia
Mpenzi uitwe mchumba kabla ya kufanyika mke
Udhihirisho wa upendo sio kushiriki tendo la ndoa... shit
Natema ushauri unaniita akili pungwani
Ati akili pungwani? ok.
Natamkia kuzungu puani
Kabla sijavalia miwani
Wakuitwa hayawani
Nyani wa kupaa hewani
Yaani kinaya na ya pwani vile;
Like this like that, like me like you
Like all like us, what we hear we like it
Say again
We like it
Woop Woop... we like it
Like me!
Hahaha... haha
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... Nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Yah... mapenzi ya kina hayo
Haa nimeisha mada.
CITYGENTLE
Mumenipata ndivyo?
(Kenyrush on the beats)
Mesh d' Citygentle
Mpenzi wangu
(kenyrush on the beats)
Ni ahadi mbaka kiama Nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na Nina... Nina Raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na Nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Mapenzi
Mapenzi
Niko kwa mapenzi
Nina usia wa mapenzi hahaha
Mpenzi ukiwa na Mimi nahisi nikiwa kwenye paa paa
Kila unachotaka nikiwa nacho nakupa
Penzi lako ukinipa silidakii kwa pupa
Then nikiwa na wewe mimi ninajitapaa
Demu wa majuu kwa ngoma unanengua mifupaa
You are so cute check vile umejibebaa... nice!
Mtoto mwadhilifu hujai ingia kwenye bar
Mpenzi bila vichembe tena wewe ni sober
Mwenye hulka nzuri unaongoza watu kwa toba
For real, unanimiss tangu meet ya October
It was fine kule Tea Cafe NKUBU
Tukamake marao hadi yale ya super
Tukatake snap before ujaembark kwa supper
Nikawa na majivuno nikipass kwa mtaa
Nikawalenga demu kwa mabezo nikiwakataa
Ukicome kwa keja mimi nimekubuyia guitar raha!
Wewe mchumba wangu nakutaka kwa kata
Maili yawe nduri kwa panga ningeyakata
Umbali umetutenga bado nazusha vita
Check upendo wa moyo umetumbukia kwa pipa
Mpenzi wangu Lucy najuta kukutupa
Mimi gari mbovu wewe kwangu ni kifaa
Nimebaki uchi wewe suti sijakuvaa
Mapenzi kama Moshi yameisha na kupaa
Nops! umbali umekatisha penzi letu kwa pupa
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Irine mke wangu najivuna kwa yako mapenzi
Ni vile Kuna tofauti ya mpenzi
Mchumba na Mke
Mke anaweza kuwa Mpenzi
Lakini mpenzi hamfikii mke
Mapenzini
Wekeni mambo dhahiri na kutoa upofu wa macho
Ati mpenzi uitwe mke kabla ujaitwa mchumba
La!
Ili ufike tisa sharti uanze kwa moja
Wahenga walikinai kumi haifikwi kwa ombwe tupu
Ewe gwiji wa mapenzi
Usivalie black guggles
Kwa giza Totoro
Gi-za as in
Je huna mapenzi?
Hujui kupenda?
Achana na mapenzi wewe hujui kupenda
Jigube chase za mpira na kufanyika mashabiki
Dunga tisho na kofia za wanachama na kujiita wafuasi
Ushauri wa mahaba
Twachie wanamahabati
Mimi mjumbe thabiti natoa wangu usia
Mpenzi uitwe mchumba kabla ya kufanyika mke
Udhihirisho wa upendo sio kushiriki tendo la ndoa... shit
Natema ushauri unaniita akili pungwani
Ati akili pungwani? ok.
Natamkia kuzungu puani
Kabla sijavalia miwani
Wakuitwa hayawani
Nyani wa kupaa hewani
Yaani kinaya na ya pwani vile;
Like this like that, like me like you
Like all like us, what we hear we like it
Say again
We like it
Woop Woop... we like it
Like me!
Hahaha... haha
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Ni ahadi mbaka kiama nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Na nina... Nina raha, nina mpenzi
Wee...
Msupaa mpenzi wangu
Yah... mapenzi ya kina hayo
Haa nimeisha mada.
CITYGENTLE
Mumenipata ndivyo?
(Kenyrush on the beats)
Credits
Writer(s): Meshack Marwa Mosae
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.