Jukwachi

So sad
When I cry for you
Umenibamba
I go fight for you
You give me something
I sing for you

Come bobo tupige na selfie,Kesho udaku uposti kwa peji aiiaaaaa
Wee utaniuaa ah
Tabu,very important maybe you can be my valentine
Tatu,meza kamata tatu nifinye unavotaka

Juu Kwa chi Jukwachini
Navoipakata hapo Kati...
Juu Kwa chi Jukwachini
Unavonipanga Jukwachiiee

Sikwachi Sikwachiimi
Navoipakata hapo Kati
Sikwachii Sikwachiimi
Unavonipanga jukwachiiee

Unankosha baby nibinyie unoo
Nipe kama sikwoni
Tantariraraa
Kerewaa,baby kerewaaa
Sakata,sakata onananaaa
Hakuna matata
Kerewaa,baby kerewaaa onananaaa
Sakata,sakata hakuna matata

Tabu,very important maybe you can be my valentine
Tatu,meza kamata tatu nifinye unavotaka

Juu Kwa chi Jukwachini
Navoipakata hapo Kati
Sikwachi Sikwachiimi
Navoipakata hapo Kati

Juu Kwa chi Jukwachini
Navoipakata hapo Kati
Sikwachi Sikwachiimi
Navoipakata hapo Kati



Credits
Writer(s): Brian Feel
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link