Spin Kama Dera (feat. Maddox Mkuruweng & Von Prince)

SPIN KAMA DERA BY IVY LYGUE
Mikono juu kama umepewa
Kesho siko job tunalewa
Curfew tulipewa tukalewa
Chunga mchele utawekewa
Ni whisky pewa
Ni risky lewa
Oh na polion
Zote zikikam na mamorio
Tukikata wako majadiko
Cheki vile anaspin kama dera
Anaspin kama dera
Ni wikendi oh my!
Tangu nizaliwe
Ndio nijua kama wewe
Sijajua aki ya nani
Utaniua sweet pie
Niko sure that a lover
I thank God that I have her
Mi niko ithaa
I wanna be with her
Tusipoteze ithaa
We tulewe
Chunga mchele usiwekewe
Mmh! Siku hizi sishikiki
Nalewa kila wiki

Pombe mi namix sitapiki

Mikono juu kama umepewa
Kesho siko job tunalewa
Curfew tulipewa tukalewa
Chunga mchele utawekewa
Ni whisky pewa
Ni risky lewa
Oh na polion
Zote zikikam na mamorio
Tukikata wako majadiko
Cheki vile anaspin kama dera
Anaspin kama dera

Give me the beat
Give me the mic
And imma kill it
Its time I satnd up on this bitch
And I kill it
He mess with me
I got my juice
They really kill ya
Watch us fire up to the top
We really kill y'all
Mess with me
Who gonna mess with me

Thinking that I'm a pu
I'm the leader
I'm the king
I just got a sweet pu
That aint nothing I'm too sweet
Fuck with me
I ask her venny
When he really think they shit

Mikono juu kama umepewa
Kesho siko job tunalewa
Curfew tulipewa tukalewa
Chunga mchele utawekewa
Ni whisky pewa
Ni risky lewa
Oh na polion
Zote zikikam na mamorio
Tukikata wako majadiko
Cheki vile anaspin kama dera
Anaspin kama dera

Itabidi umeitisha
Ni mamzinga na mashisha
Kaa ni ngori basi sidai
Leo ni njugu na mapokp
Fika uko piga local

Usijali chase na kojo
Hii syllabus vile itaifanyia
Vic na abass hapa ni kudandia

Mikono juu kama umepewa
Kesho siko job tunalewa
Curfew tulipewa tukalewa
Chunga mchele utawekewa
Ni whisky pewa
Ni risky lewa
Oh na polion
Zote zikikam na mamorio
Tukikata wako majadiko
Cheki vile anaspin kama dera
Anaspin kama dera



Credits
Writer(s): Edward Kimachu Irungu, Steve Swale Mwinzi, Ivy Wangari
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link