Sifa Za Moyo

Wouwo uwooo uwooo uwooo
Wouwo uwooo uwooo uwooo
Wouwo uwooo uwooo, mmh
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako we MUNGU
Nakuomba ELOHIM
We zipokee
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako we MUNGU
Nakuomba ELOHIM
We zipokee
Ulikonitoa BWANA wangu
Ni mbali sana
Ni mbali sana
Sikudhaniwa
Na ulinichagua mimi, BWANA
Na udhaifu wangu
Ulinipenda mimi, iih
Pasi na sababu, uuh
Sasa narudisha sifa, BWANA
Narudisha Sifa, BWANA
Na heshima aah
Uzipokee
Tena nanyenyekea kwako, we
Nanyenyekea kwako we
YESU mwokozi
Wa Maisha yangu (Ooh narudisha)
Narudisha sifa, BWANA (Narudishaa)
Narudisha Sifa, BWANA (Za moyo wangu)
Na heshima (Ouh)
Uzipokee (Halleluya, Oh BWANA nashuka)
Tena nanyenyekea kwako we (Ooh, BWANA)
Nanyenyekea kwako we (Kwako Ebenezer)
YESU mwokozi (YESU mwokozi)
Wa Maisha yangu (Wamaisha yangu, Uuh BWANA)
Wouwo uwooo uwooo
Wouwo uwooo uwooo
Halleluya, Halleluya
Kwa shangwe, nazileta kwa shangwe
Kwa shangwe, nazileta kwa shangwe
Sifa za moyo wangu, Bwana zipokee



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link