Jahera

Ayie Ayie Ayie Ayie Ayie

Nahisi kwamba moyo wangu unapasukaaaa
Sijui kama unajua nachotakaaaa
Kwanza niambie unanipenda wee, usiogope
Juu me niko ready kukupea yote, with no hesitating
This is love that I'm feeling ila we huniamini
Mbingu na ardhi mashahidi
skiza mashahiri

Ayie Ayie (hera) Ayie Ayie Ayie (jaherana)
Hera
Jaherana

Ayiee nimekubali uwe nami
Mpaka kifo ni kitu iko usiwe hivooooo
Irunda irunda irunda (irunda) wanizunguzusha zungusha zungusha (wanizungushaaaa)
Moyo wangu hauwezi tulia ni wewe tu my mind is made up

Ayie Ayie (hera) Ayie Ayie Ayie (jaherana)
Hera
Jaherana

Hera hera

Ayie Ayie Ayie Ayie Ayie
Ayie Ayie (hera) Ayie Ayie Ayie (jaherana)



Credits
Writer(s): Winnie Achieng
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link