Future Wife
Yeah
Dear, future wife
Heeehe, heeehe
Let's get in this one
Yeah, of course niliamini, wewe ndiyo wangu future wife
Kumbe hamna kitu, wewe ndiyo wangu future knife
Umenikata hadi maini, umevuruga future life
Future wangu, nitaiweka wapi sura yangu
Ona ulivyonisaliti, hakika wewe traitor
Nilikupa love, umechange umegeuka hater
It's better, ungeniweka wazi since wayback
Umenisaliti, i can't even layback
Niliondoka kikazi, but the damn thing
Why you let, these ugly nigga just get in
Na uzuri wa figure yako, ni zaidi ya Kaylin
Kwako nilikuwa mwaminifu, zaidi ya body guard from Beijing
Nakumbuka uliniambia kuwa, unatokea Masasi
Nilikupokea tuendeleze, hizi harakati
Sikuhizi umebadilika, unakula mpaka nyasi
Unajiona mnyama, kiasi unasadiki kuitwa nyati
Kumbe hamna kitu, simba karatasi
Umevamia jiji, wacha nikugonge mwendokasi
Nakumbuka, kipindi kile unalilia ndoa
Nilikupa nguo ufue, wewe ukazitia madoa
Ulihisi kuwa, ukichafua utatoboa
This time nigga, i promise you, hakuna wa kuokoa
Nilihisi tungedumu, couple ya Navy kenzo
Wewe ni mke me ni mume, tufanane level
Una uchu wa daraka, nagundua wewe devil
Leo kichapo tu, wala sihitaji hata maelezo
Kwanza ni mnyama, wa kuchora, mithili ya puma
Nikienda round moja tu, vile unatia huruma
Eti baby nionee huruma, jua mwenzio me naumwa
Ukizidisha moto baby, jua utayayusha chuma
Ukiwa na shoga zako, mnaniandikia mipasho
Nakumbuka nilipokutoa, unanuka jasho
Kuna time nakuonea huruma mama kijacho
Ila kwakuwa umeanzisha subiri kifuatacho
Mnaitaji support mngeomba na mngepata
Mmechagua soda, nawapatia maa fanta
As i told you, kuwa nitafia kwa kinasa
Nagundua kuwa nyie wote, machizi wa kisasa
Ukiwa na shoga zako, mnapiga mikwara
Sisi tuko wilayani, ila tunawavimbia Mtwara
Nawavua wigi, kisha nawatembezea vipara
Nyie vigori tu, tena bonge la shori vinara
Kama unahitaji battle, tumbukia mwenyewe
Unatuma watoto wadogo, vifaranga wenyewe
Kupita nao, hizo ni tabia za mwewe
Na me ni eagle, ndiyo maana leo napita na wewe
Na yule shoga yako, hau ndiye mama ako stara
Ukunitambulisha, japo hata kwa lugha ya ishara
Amevamia idara, halafu mtoto mbichi kisura
Akinipa mchele, silembi me napika, nakula
Nawasalimu wote, na yule shoga yenu Marry
Ndiyo kwanza mwaka wa kwanza, halafu analeta kejeri
Na me ndiye, lecture wa hili somo, for sure ameshafail
Kama sio sup, basi namtundika na carry
Daily unalalama media, zina habari za uongo
Nagundua kuwa mchumba, una stress kwa ubongo
Kwani zamu ya nani leo, zamu ya Manfongo
Umenikuta nipo fit, hafu na bonge la usongo
Futi sita inakuhusu, leo unarudi kwa udongo
Maisha mapambano, ila mchumba ungeachana na gongo
12 Code The Rap Benedict
A.k.a Masaubwire, mzee wa mpapaso
Na hii ni intro tu, so mkae mkisubiri kifuatacho

Credits
Writer(s): Godfrey Milanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.