Wanijue

(Instruments)
Oooooh ooooooh
Sijui nikakope ama niibe
Au nidangee au nijiue
Yani na mimi ipo siku moja
Nikipata pesa nami ninunue sabufa
Yani nami ipo siku moja
Nitanunua Hennessy nami niwaringishie chupa
Wanijue, wanitue eeeh nami nitambeee
Nasema oooh oooh jamaa oooh
Nasema oooh oooh jamaa leoo
Nasema oooh oooh jamaa oooh
Nasema oooh oooh jamaa oooooh
Hizi pesa zitanitoa roho (nananana)
Hizi pesa zitanitoa roho (nananana)
Hizi pesa zitanitoa roho (ooooh)
Hizi pesa zitanitoa roho (oooooh)
Instruments
Huwa nawaza mpaka napagawa
Muda mwingine naufikiria uchawa
Nawaza bosi akinuna eti nami ninune
Nawaza bosi akicheka eti nami nicheke
(Ehee makee hapo kwanza nicheke)
Nawaza niende kidimbwi nipande juu ya meza
Naagiza Hennessy nyingi nalewa naanza kucheza
Yani na mimi ipo siku moja yani na mimi ipo siku moja
Nikipata pesa na mimi ninunue sabufa
Yani nami ipo siku moja
Nitanunua Hennessy nami niwaringishie chupa
Wanijue wanitue nami nitambeee
Nasema oooh oooh jamaa oooh
Nasema oooh oooh jamaa leoo
Nasema oooh oooh jamaa oooh
Nasema oooh oooh jamaa oooooh
Hizi pesa zitanitoa roho (oooooh)
Hizi pesa zitanitoa roho (oooooh)
Hizi pesa zitanitoa roho (oooooh)
Hizi pesa zitanitoa roho (oooooh)
(Instruments)
The end



Credits
Writer(s): Micky Yusuf Mohamed
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link