Say

Oooh oooh ooow
Yeah

Catwalk za kijanja masikion nna IPod
Mnyamwezi ndani ya kiwanja utulivu ni A grade
Ladha za kwanja niko happy siko sad
Siko gambe siko ganja ni msafi ile maridadi
Na simu kwenye kiganja kwa pozi napress pad
Kitambo nshafika zonja mko wapi wangu wa squad
Mangoma DJ anagonga next level upgrade
Nacheck siti naketi huku kichwa kinatingishika
Viwanjani wote tight mizuka inapanda haina kushuka
Wamevunja kabati naona wanawakawaka
Ghafla mi navutwa shati niaje unanifananisha
Nikaona mrembo kabeuty mzazi pumzi nilishusha
Akisonga nyuma maudhui yalivyobebeka
Kifuani kaniacha hoi na mdomo wa kunyonyeka
Lile Smile la Harry Berry pamba kali kama Monica
Macho yake kama goroli akinicheck mtu mzima kwisha
Oo meen baby la ukweli nane inayokimbilia tisa
Sifa nyingine I can't tell maana tumaweza kesha

Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say
Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say

Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say

Anacheza akimove ana mwendo wa kujiamini
Anasifa nyinginyingi anatop chini ana mini
Akabonga hello habari
Yeah Yeah mbona shwari
Nikiketi hautajali
Ni bomba huku sina habari
Akanambia anaitwa Velly
I can see uko lonely
Ni sawa nko lonely Velly
Mi nipo wala usijali
What you want you gonna get it
Umependeza sana i love the way you smell
Akaomba namba nikampa nae akanipa yake
Baada ya siku kadhaa kupita me and her mambo mwake
She is my Senorita and I Senore wake
Japo sikuwa na pesa alinipenda kwa moyo wote
Aliahid hatonitesa atakuw nami kivyovyote
Home kwao nimekubalika mbele yao nimemvisha pete
Nimeacha usela nimetuliza mapepe
Nimeokota dodo kwenye mpera mambo yente

Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say
Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say

Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say
Uuuuh Baby
Yeah
I got You
Let me hear you say



Credits
Writer(s): Mullah The Matrix, Rashid Abdallah Ally
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link