Hepi

I like that, i like that, i like that
Recipe ya Hepi (i like that)
Recipe ya Hepi (i like that)

Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam
Juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gham
Ka wee si besthe damu mi siwezi kuita fam
Kuna Maina kwa sherehe mshow anaitwa na mam
Juu masaa ni ya hepi chunga masaa ni ya dhambi
I'll see what i can do na wababa wa vitambi
Kamkopo kalijipa basi leo sichangi changi
Juu mixer ni ya remi na pombe za kariobangi
Hangover kesho itakuwa ka ya watu wawili
Mara moja itabidi nimemeza mara mbili
Lakini haidhuru bora vako tuziseti
Picha tunachoma sana tu kwa sababu ya hepi

Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi
Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi

Maundala nanenga kila mundu kile anadai kubuy
Itamai kyoivi vyoita namayaufrai
Kaketa wakachathe koneya musembi
Koneya musembi muya au kile kinatwili tunaidhi mama mabrathe
Mkamba na mapoz
Circle ilichange naveveka na maboss
Nikikam around siunajua how it goes
Mi sibrag labda unikuta kwa meno nikifloss
Ow dakika mbili tumebonga one hour
Tumemake el nino na machampagne showers
Tiba ya kuchapa si ni pesa ndio dawa
Siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa ooow

Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi
Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi

Hepiiii (i like that)
Hepi (i like that)
Hepi (i like that)
Maganji washkaji vinywaji ndo recipe ya hepi

Mmh niko na hanjam
True story why lie
Nairobi mji wa free wifi
Mkristo nameza divai
Mi ni hepi till i die
Tuko na whose who
Yaani nani nani
Tunasele madesign ikiingia magizani
Ahhh utanipata na boys wangu
Unaishi kikuyu leo unalala roysambu
Marashi tulishare ulimi major razor
Meza yangu ma three aisee beba bebaa
Friday tuko na nameless na nonz
Remi nyake na supu ya konzzz

Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi
Recipe ya hepi, hepiiiii
Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi
Hepi, hepi, hepi
Maganji washkaji vinywaji ndo recipe ya hepi

Credits
Writer(s): Wanjiku Kimani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link