Vanilla

Na ulivyo mpole haujuagi hata kununa
I wish unipende mimi tyu, mtoto wa geti kali hajuagikuzulula
Vanilla weeh
Team naturally hauyajui maskara
I wish unipende mimih
Na ulivyo mpole haujuagi hata kunuana
Vanilla wewee

And I know girl u know that
Kila nikikuona me nafenya mama
Na uko nyuma umeniteka ahh
Kila hatua moja na surrender mamaah
And I know girl u know that
Kila nikikuona me nafenya mama
Na hiyo chura umeniteka ahh
Kila nikikuona na surrender mamaah

Kama unamwingine basi nambie
Ain't come to life to be lonely
Bora useme mapema ili nijue, what to do uhh
Au unamwingine niambie
Ain't come to life to be lonely
Bora useme mapema ili nijue
What to do uhh!

Ana nulu ya sura, kama malaika
Hizo nyusi anavutia mpaka nywele
Asili ya pemba, nusu chotara
Hizo lips anavutia mpaka nywele
Oohhh vanilla
No body can do you bad vanilla
You run you run my heart hata nikilala
No body can do you bad vanilla
You run you run my heart hata nikilala

And i know girl you know that, know that
Kila nikikuona me nafenya mama nafenya mama
Na uko nyuma umeniteka tekaa
Kila hatua moja na surrender mamaah
And i know girl you know that, know that
Kila nikikuona me nafenya mama nafenya mama
Na iyo chura imeniteka
Kila hatua moja na surrender mamaah surrender mama

Kama unamwingine basi nambie
Ain't come to life to be lonely
Bora useme mapema ilinijue, what to do uuh
Au unamwingine niambie
Ain't come to life to be lonely
Bora useme mapema ili nijue
Dm romio



Credits
Writer(s): Dm Romio
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link