ahadi

Moyo wangu, sifu bwana
Ata sababu zote zinapoisha
Msifu tu
Kwani yeye
Hutuwazia mema
Wala sio kutudhulumu
Aliyenijua nikiwa
Tumboni mwa mama
Akaniunganisha
Na kunipa dhamana
Ana sababu zake
Kwa lolote lile atendalo
Alichosema, atahakikisha
Alichoahidi atadhihirisha

Ahadi ahadi
Za bwana ni amen
Akisema, atatenda

Gai uria ugaga niwe Gai uria wikaga
Mwambiriria na mwisho
Wa maundu mothe
Gai uria ugaga
Niwe Gai uria wikaga
Mwambiriria na mwisho
Wa mothe
Mungu huyu
Mwaminifu
Kwa hakika
Ni mwaminifu



Credits
Writer(s): Jane Ngugi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link