Jeraha

(Vicky pon this)

Kunguru ata kalishwa, nyumbani ato kaa
Katili huna nafsi, huna huruma
Ata kwa ushahidi, macho nilifumba
Sikutaka kuamini, Niliogapa itaniuma

Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfupi, penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa

(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio

Likizo mwenzio-oh
Niaje (niaje uooh)
Get off me man (niaje niaje)

Wajua wakati mwengine najiuliza
Au pengine haya mapenzi yana wenyewe (usincheze cheze)
Ama pengine mimi ndio sina bahati (moyo wangu mwepesi)
Au pengine tu wangu ndio hajazaliwa
Mana kila minapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapongoa nanga tu inageuka feri mtongwe
Damn, heh, siaminii
After all we've been through
How you sacrifice so much for so little?

Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfupi, penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa

(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio

Credits
Writer(s): Obunga Jacob Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link