Unaweza Mfinyanzi (Live)

Unaweza unaweza unaweza unaweza
Hakuna jambo lililo gumu
La kukushinda Yesu

Unaweza unaweza unaweza unaweza
Hakuna jambo lililo gumu
La kukushinda Yesu

Bwana akamwambia Yeremia
Nenda nyumbani kwa mfinyanzi
Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo
Kilichoharibika anakifinyanga tena
Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye

Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi
Kilichoharibika unakifinyanga tena
Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena
Jinsi upendavyo Wewe



Credits
Writer(s): Boaz Danken
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link