Baba yetu

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe

Ufalme wako na utufikie
Duniani kama mbinguni
Utakalo lifanyike
Duniani kama mbinguni

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe

Tupe leo baba mkate wetu
Tusamehe makosa yetu
Tufanyavyo kwa ndugu zetu
Tusamehe makosa yetu

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe

'Situtie baba kishawishini
Maovuni utuopoe
Bali daima utuongoze
Maovuni utuopoe

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe

Kwa kuwa ufalme ni wako
Na nguvu, na utukufu
Hata milele, Amina

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe

Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe
Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe



Credits
Writer(s): Jt Bulinda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link