Napendwa

Nakupa salam pole ex
Mi kwanza sasa hivi na nenepa
Niliyenaye kanitowa stress
Nimesahau michoko ya nyuma nilipo toka
Hivi bado anakupost bwana wako anakupost?
Walio nachamba wale mashoga zako ivi wapo wale mashost
Namba zako nilikwisha futa
Nimezitafuta tunikupe taharifa
Nimenpata amenpa hodari mwenye kila sifa
Juzi nimeona umeposti picha insta umezidi kongoroka
Mifupa ilivyo kutoka utadhani umetapikwa na nyoka
Umekonde ana
Poleee, pole sana
Vipi danga lako la masaki mmesha achana
Sisi tumependezana
Tume pendezana
Ropa ya mapenzi alionikaba imesha nibana
Yani rahaaaaa

Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa aaah
Ilichaka sing'okii
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Nimesha tulizana

Unakazi yakushindia vijora
Cream imekualibu sura
We nabwana wako mmekutana wote amna hela
Serikari imekwisha isha sera
Kumbe chakula cha masela
Mimi huku mwenzako
Penzi limechanganya mpera mpera ooh
Nilifosi maji kupanda mrima
Napambana kuwasha kumbe unazima
Nikaugua balidi nakutetema yani matesoo
Ukawa unalinga kama umepima aah
Napole dada sasa umechina
Nimempata fundi Ronaldo derima mineso
Nilijua tu tusingefina mbali wewe na mimi
Uapenda makuu ndio maana hukujali
Kidogo cha mimi
Umekonde ana
Poleee, pole sana
Vipi danga lako la masaki mmesha achana
Sisi tumependezana
Tume pendezana
Ropa ya mapenzi alionikaba imesha nibana
Yani rahaaaaa

Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa aaah
Ilichaka sing'okii
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Napendwa napendwa
Ooh mama aaaaaaahhhh



Credits
Writer(s): Idd Mohamed Ngomba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link