Mlima (Live)

Hakuna mlima usioweza kuuondoa
Hakuna bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna giza usiloweza kuliangaza
Hakuna mlima usioweza kuuondoa
Hakuna bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna giza usiloweza kuliangaza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh

Hakuna mlima usioweza kuuondoa
Hakuna bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna giza usiloweza kuliangaza
Hakuna mlima usioweza kuuondoa
Hakuna bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna giza usiloweza kuliangaza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh

Je, kuna neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Je, kuna neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Je, kuna neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Je, kuna neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Hakuna neno lolote
Hakuna jambo lolote
Hakuna neno lolote
Hakuna jambo lolote
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh



Credits
Writer(s): Joel Lwaga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link