Tamu (Afro Genge)

Tukona gin na ice Tunajinice
Tupige shots tu vibe
Chrome iko top juu ni
Tamuuuuuu uuu
Tamuu
Tamuuuuuu uuu
Tamuu

Wan wario maber nimrembo muiteni jaber
Ni tamuuuuu uu nimelowa adi nikasweat
Chupa ni fiti wacha nikarest
Shots usitake excess
Nasi millions yakitake excess
Wacha ni confess

Tukona gin na ice Tunajinice
Tupige shots tu vibe
Chrome iko top juu ni
Tamuuuuuu uuu
Tamuu
Tamuuuuuu uuu
Tamuu

Ni tamu chrome ni tamu
Tunapiga shots ni tamu
Leo tuna chase mautamu
Bash imechrom utamu

Papa paripapa ukishika mzinga tunaikataa
Tunasaka tunasakataa
Vitamu
We gat gin and moh (moh)
Sing along
We got gin and moh
Sing along

Tukona gin na ice Tunajinice
Tupige shots tu vibe
Chrome iko top juu ni
Tamuuuuuu uuu
Tamuu
Tamuuuuuu uuu
Tamuu

Napiga vikombe
Sitaki ni chome
Sitaki lewe
Juu ni Tam Tam Tam
Sioni mbele na sinzia
Ndio nazidi agizia
Waiter lete adisia
Juu ni Tam Tam Tam
Sina stress kibao
Siendi kulala kwao
Na mapesa kibao
Nakunywa pombe zao

Tukona gin na ice Tunajinice
Tupige shots tu vibe
Chrome iko top juu ni
Tamuuuuuu uuu
Tamuu
Tamuuuuuu uuu
Tamuu



Credits
Writer(s): Faizo Mugenyi Lukanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link