Watufake

When I started maisha ya kuhustle wengi walinipimia
Then nikaanza kuuza juo and all they said is I'm joking
Kidogo nikabuy mandula na slides and all they said is I'm bragging
In a short while nikaamua na hasira kubuty my smartphone trending
Nikatake time kufikiria life yangu in short nilijiita meeting
I read some scriptures keeping in mind that daily am always praying
No man is an island that's a message that I'll keep on spreading
Though mafala fulani pale mtaani daily they are always faking

Utakam pale baze busy skanking na mandula fake
Kwa contact list yako wale madam wote hukuita drake
Na uko always struggling oyaa na maisha huwezi make
(Buda) Buda be real na utanotice you getting the cake

Wengi hutaka kukata lakini hawataki kusaka
Na hio ka quarter wanataka but they can't survive the stagger
But mbogi lazima wabambwe so peer ni ngori my brother
Be real and listen to your mother cause she is the only on who is bothered
Sometimes unataka tu kusonga alafu unalegeza ju bro watabonga
Nevermind zile vitu watasema life si ni yako na we ndio kusema
Ku impress ma empress buda chunga na usake life in short ujijenge
On a daily we ukuwe ni shughuli bila ma oporo si bro utasonga
Stay on your line na ukuwe mtu true
Ju zile vitu nasema ni nothing but the truth
Ishi maisha yako na believe in you
Kama ni kuomoka buda mdogo mdogo itajipa.

Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate

Utakam pale baze busy skanking na mandula fake
Kwa contact list yako wale madam wote hukuita drake
Na uko always struggling oyaa na maisha huwezi make
(Buda) Buda be real na utanotice you getting the cake

Utakam pale baze busy skanking na mandula fake
Kwa contact list yako wale madam wote hukuita drake
Na uko always struggling oyaa na maisha huwezi make
(Buda) Buda be real na utanotice you getting the cake

Utakam pale baze busy skanking na mandula fake
Kwa contact list yako wale madam wote hukuita drake
Na uko always struggling oyaa na maisha huwezi make
(Buda) Buda be real na utanotice you getting the cake

Utakam pale baze busy skanking na mandula fake
Kwa contact list yako wale madam wote hukuita drake
Na uko always struggling oyaa na maisha huwezi make
(Buda) Buda be real na utanotice you getting the cake

Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate
Ni watu fake na lifestyle fake
They do it for the sake you can relate

How did I do (haha)

Credits
Writer(s): Henry Owino
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link