Tumpambe

Hale hale hale hale hale hale
Haleluhyia
Hale hale hale hale hale hale
Haleluhyia

Bwana wetu kimbilio langu we
Bwana Yesu jemedari wangu mimi
Yeye ndiye mwanzo tena mwisho
Yeye ndiye alpha na omega

Oooh
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo

Vile Ulianza, lazima utamaliza.
Si wenye dhambi, pia ukasifisha,
njia pia ulisema utatengeza
Nimuogope nani kama si wewe baba.

Ooh
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo

Hapo awali ningejua, ni we unaokoa.
Sio matendo na tabia, neema ya okoa.
Sio kwa uzuri imani ya okoa.
Inchi yetu baba okoa

Okoa okoa
Baba okoa
Komboa komboa
Baba komboa
Fungua fungua
Baba fungua fungua
Inua inua
Baba inua
Naiunua mikono
Baba inua
I surrender to youu

Ooh Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo
Oooh Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo
Tumpambe bwana wetu
Kwa ibada za sifa
Tumpambe bwana wetu
Kwa miendo na vitendo

Hale hale hale hale hale hale
Haleluhyia
Hale hale hale hale hale hale
Haleluhyia



Credits
Writer(s): Jibril Gabriel
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link