Upendo

Aah Ahh ahh
Jehova aah
Aah Ahh Ahh
Elshadai

Katika amri za Mungu upendo ni namba moja
Katika sifa zake upendo pia upo ndani yake
Alimtoa mwanaye ili mi nawe tuokolewe
Anakupenda Ananipenda aa

Kuna amani kwenye upendo
Kuna faraja kwenye upendo
Kuna maelewano kwenye upendo
Hivyo pendaneni ninyi kwa ninyi
Kuna amani kwenye upendo
Kuna faraja kwenye upendo
Kuna maelewano kwenye upendo
Hivyo pendaneni asema Bwana

Sote
Tupendane Tupendane Tupendane sote niwamoja
Tupendane Tupendane ee Tupendane sote nikitu kimoja

Kuna wanaojua siri ya upendo
Kuna wasiojua thamani ya upendo
Kuna wanaojua siri ya upendo
Kuna wasiojua thamani ya upendo

Upendo niagizo toka kwa Mungu
Upendo ukipenda waongezewa
Upendo niagizo toka kwa Mungu
Upendo ukipenda waongezewa

Kuna amani kwenye upendo
Kuna faraja kwenye upendo
Kuna maelewano kwenye upendo
Hivyo pendaneni ninyi kwa ninyi
Kuna amani kwenye upendo
Kuna faraja kwenye upendo
Kuna maelewano kwenye upendo
Hivyo pendaneni asema Bwana
Sote
Tupendane
Tupendane e e e
Tupendane
Ooh uwoo oo
Tupendane sote niwamoja
Tupendane
Tupendane
Tupendane
Aah
Sote ni wamoja wamoja
Tupendane sote nikitu kimoja

Ee ee eeh
Ee ee eeh
Ee ee eeh
Upendo unanguvu mahali popote
Ee ee eeh
Ee ee eeh

Upendo wahuwisha upendo wainua



Credits
Writer(s): Elton Mwakisyombe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link