Naskia Poa Remix

Raga tata
Chupa zimelandi imekatata
Ilianza saa ngapi sikumbuki hata
Maskini akipatanga hulia mbwata

Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini
Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini

Party
Me napita katikati naguza hiyo panty
Dem ni mcute cheki amefunga nati
Kenya tuko free wakoloni ni wangati
Political party silaha ni manati
Cheza na wakati nyinyi hamtupati
Sato tuko free tuko party
Kushompa kushompa party haitaki wangati wanati
Tire zinarun kila corner kushompa kushompa
Kenya tuko free hadi prezo anaseti
Tuko poa me naskia tu poa

Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini
Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini

Naskia ki nini
Kwa ki nani
Kinani nini
Nasjui kwa nini
Sipendi bangi but bangi ndo hunirarusha
Bangi ndo huniamsha
Bangi ndo hunikumbusha
Nagi huni simulate kwa mongo kwa ki booster
Maisha ndio huning'ora ubongo inaezararuka
Ai light the smoke marinate
Make the top circulate
Kwa burner and then tease the top
Just lick it and smoke or keep riz kwa throat
Puff the moshi out and feel the head blow

Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini
Naskia poa, nasjui kwa nini
Naskia poa poa na sjui ni nini

Ber leo ni leo
Kieleweke leo
Wapi mratish leo
Shava mjini leo
Tutaanzaje familia when you not replying back
As long as she's petite akili ntambebea
Broke men are so cute
Cheki kizangila
Na wakishow up for us
Tunashow up for them
Oh yes I know
Leo ni kukata kulewa kuseti
Oh yes I know
Leo usherati hadi chee



Credits
Writer(s): David Omondi, Nelson Liena, Elly Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link