Hamu
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Wanangu hamu imenizidi mpaka naona noma
Usiku ndoto za ajabu ajabu me zinanisonga
kila nikilala nikiamka lisha mwaga bomba
Hamu ikinizidi naenda bafuni bana kuoga
Hamu yangu bana haielezeki
Nataka story zangu daily ziwe kwa Gazeti
Nipate pisi kali initongoze mbona fresh
Maisha mtani skuizi yashanitesa sina chenchi
Mi nahamu niwe star nijichubue
Nipate demu ka MIMI na tuzo nichukue
Na baada ya wiki mbili mbili tu
Mtoto anizingue
Niweke bango lake mtani kama upendo ili atambue
Mi na hamu
Naimenizidi ham
Kutamani tamani vingine sivifaham
Minaham nipate rundo la wapenzi
Ila tatizo moja bana kutongoza ndo siwezi
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mina hamu hamu yangu muitambue
Mana ham niliyonayo hamuwezi kuwa nayo nyie
Hamu bana zina changanya akili sana
Kuna muda zikizidi natamani minilie
Ham ndoinafanya tunagombana
Ham ndo inafanya kwenye maisha tunachukiana
Ham ndo inafanya kwenye mziki tunabaniana
We hutaki niwe nacho mm kweli baniani mbaya
Kula gambe ham
Kula mitungi ham
Kudanga danga
Kujiona mwamba
Kutaka bwana
Kuwa pisi kali
Kuna ham zinginebana kutwa
Khoo khooo khooo
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mwenzako mina Ham
Ham ham ham ham
Ham ham ham ham
Mwenzako mina ham
Ham ham ham ham
Ham ham ham ham
Kula gambe ham
Kula mitungi ham
Kudanga danga
Kujiona mwamba
Kutaka bwana
Kuwa pisi kali
Kuna ham zinginebana kutwa
Khoo khoo khooo
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Wanangu hamu imenizidi mpaka naona noma
Usiku ndoto za ajabu ajabu me zinanisonga
kila nikilala nikiamka lisha mwaga bomba
Hamu ikinizidi naenda bafuni bana kuoga
Hamu yangu bana haielezeki
Nataka story zangu daily ziwe kwa Gazeti
Nipate pisi kali initongoze mbona fresh
Maisha mtani skuizi yashanitesa sina chenchi
Mi nahamu niwe star nijichubue
Nipate demu ka MIMI na tuzo nichukue
Na baada ya wiki mbili mbili tu
Mtoto anizingue
Niweke bango lake mtani kama upendo ili atambue
Mi na hamu
Naimenizidi ham
Kutamani tamani vingine sivifaham
Minaham nipate rundo la wapenzi
Ila tatizo moja bana kutongoza ndo siwezi
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mina hamu hamu yangu muitambue
Mana ham niliyonayo hamuwezi kuwa nayo nyie
Hamu bana zina changanya akili sana
Kuna muda zikizidi natamani minilie
Ham ndoinafanya tunagombana
Ham ndo inafanya kwenye maisha tunachukiana
Ham ndo inafanya kwenye mziki tunabaniana
We hutaki niwe nacho mm kweli baniani mbaya
Kula gambe ham
Kula mitungi ham
Kudanga danga
Kujiona mwamba
Kutaka bwana
Kuwa pisi kali
Kuna ham zinginebana kutwa
Khoo khooo khooo
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mi na hamm
Mwenzako mina Ham
Ham ham ham ham
Ham ham ham ham
Mwenzako mina ham
Ham ham ham ham
Ham ham ham ham
Kula gambe ham
Kula mitungi ham
Kudanga danga
Kujiona mwamba
Kutaka bwana
Kuwa pisi kali
Kuna ham zinginebana kutwa
Khoo khoo khooo
Credits
Writer(s): Leonard Daudi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.